Makamu wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mohamed Gharib Bilal, Tukio hili lina lengo la kuimarisha uandishi wa habari za mazingira, kukuza uhifadhi wa maliasili.
Habari Conservation Organization ikitekeleza programu ya upandaji miti na utoaji wa elimu ya mazingira mashuleni, kwa kushirikiana na wanafunzi wa shule ya bweni wanaojengewa uelewa wa kuwa mabalozi wa uhifadhi wa mazingira.
Uchimbaji wa madini unachangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira na kutoweka kwa misitu nchini Tanzania. Hili ni eneo la uchimbaji wa dhahabu mkoani Tanga, likiwa mfano wa changamoto za uhifadhi wa mazingira zinazotokana na shughuli za madini.
Join our community and receive regular updates on tree-planting campaigns, environmental conservation projects, upcoming events, and ways you can actively protect and preserve nature.